1 Chronicles 4:14

14 aMeonathai akamzaa Ofra.
Seraya akamzaa Yoabu,
baba wa Ge-Harashimu.
Maana yake Bonde la Mafundi.
Liliitwa hivyo kwa sababu watu walioishi humo walikuwa mafundi.
Copyright information for SwhKC